ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 11, 2011

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Amos Majule kuhusu vijitabu vya kumbukumbu, wakati akikagua vitabu hivyo baada ya kuzindua Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Profesa Rwekaza Mukandala. (Picha na Muhidin Sufiani).

No comments: