Mheshimiwa Balozi Amina Salum Ali akipiga picha ya pamojana Mheshimiwa Mama Ida Raila Odinga, mke wa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga baada ya mkutano huo muhimu kuhusu nchi zetu,
Mheshimiwa Balozi wa Umoja wa AfriKa (African Union) Balozi Amina Salum Ali akiwa kwenye mkutano uliotayarishwa na AMREF na wadau mbali mbali kuzungumzia kuhusu masuala ya ukame katika ukanda wa Afrika ya Mashariki na athari yake katika afya ya jamii.
No comments:
Post a Comment