ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 27, 2011

CESILIA EDWARD HATIMAE AENDA INDIA KWA MATIBABU

Meneja wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Hamid Abdulkarim akiwa amemshika mkono Cesilia Edward (14) mwenye tatizo la moyo linalosababisha kuvimba tumbo akitoka Hospitali ya Regency tayari kwa safari ya New Delhi, India kwa matibabu. (Picha na Yusuf Badi).

No comments: