Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akiingia umbumbini hapo tayari kuanza Gala Dinner ya uhuru wa miaka 50 ya Uhuru iliyofanyikia,Sterling,Virginia kwenye Hoteli ya Marriott
Balozi wa AU Amina Salum Ali(kulia) nae alikuwepoe kwenye Gala Dinner ya miaka 50 ya Uhuru
Afisa Ubalozi Abas Missana(kati) akipata dinner huku akiongea mawili matatu na Idd Mtango(shoto)
Mh.Catherine Magige(kulia0 akiwa nae kwenye Gala Dinner akiwa na mwenyeji wake Loveness Mamuya
Edgar akiwa na mama mwenye nyumba wake
Dr Hamza Mwamoyo(kulia) akiwa na Ma Winy
Model wetu Flavia Matata akipata Ukodak moment na mkurugenzi wa Umoja phone
Models wakiwa wametulia
sUkoda moment ndani ya Gala Dinner
Wageni waliofika kutoka Tanzania na Marekani wakiendelea kupata Dinner
Ugeni kutoka Minnesota
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment