Dj Luke Joe akiwapa burudani ya kuwaaga wageni waliokuja kwenye mkutano wa DICOTA na sherehe za miaka 50 ya Uhuru,Washington,DC
Juu na chini wageni wakiburudika na oldschool kwenye kwaheri party
DMK(shoto)akipata Ukodak Moment na mmoja ya mgeni aliyekuja kwenye mkutano wa DICOTA na sherehe za miaka 50 ya Uhuru
Mdau akipata kanywaji
picha kushoto ni Dedi Luba na kulia ni Santa na Victor wakiburudika na kwaheri Party
Ni Ukodak Moment
No comments:
Post a Comment