Uzi watakaoingia nao Simba
Kocha wa Simba amesema leo watacheza formation ya 4-6-0 ili mabeki wa Yanga wasijue nani wa kumkaba pia wameomba mashabiki kuvaa nyekundu na nyeupe.
Uzi wa Yanga
Kocha wa Yanga Yasini Manyo ametuma salaam kwa Watani zake wa jadi kwamba" kungulu kumyea binadami sio kwamba anashabaha"
Mechi itaanza saa 10:30 sharp(4:30pm)
tunaomba wachezaji wafike uwanjani saa 9:30 sharp(3:30pm) kiza kinaingia mapema na kama timu zitatoka dro dkk 90,zitapigwa penati 5-5
MECHI KUCHEZEWA
7500 Ben Lomond Park Dr,
Manassas,VA,20109
Nyama choma kwa wingi usisahau TOOTHPICK
POMBE NI MARUFUKU KWENYE HII PARK
No comments:
Post a Comment