ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 27, 2011

Mama mzazi,kaka,dada watembela kaburi la Mina

Mama mzazi wa Mina(kulia)akiwa na kaka ya Mina Amin Dola(Mayor wa Seattle) pamoja na dada ambae jina halikuapatikana wakiwa kwenye makaburi alikozikwa mpendwa wetu Mina
Dada zake Mina na Mama Zam Zam(mamamzazi wa Mina) wakiwa makaburini alikozikwa Mina
Kaka yake Mina,Amin Dola akiwa na mama mzazi,mama Zam Zam

1 comment:

Rachel Siwa said...

Inauma sana,Poleni sana Wapendwa na Mungu awape uvumilivu ktk wakati huu mgumu kwenu.