Nyama choma ya DICOTA na ambyo ilikua iambatane na pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo hata hiivyo halikufanyika kutokana na uwanja kufungwa kwa sababu ya mvua zilizonyesha siku nzima Ijumaa na sheria hairuhusu kucheza mpira kama uwanja una maji maji
Nyama choma zikiandaliwa
hii sio foleni ya kikombe cha Babu bali ni nyama choma uliopelekea wageni waliokuja kwenye mkutano wa DICOTA na sherehe za miaka 50 ya Uhuru kulazimika kupanga foleni ndefu
Mashabiki na wachezaji wa Yanga waliokua wakiwasili uwanjani hapo
wageni wakitembea tembea park
shoto na kulia ni wageni waliofika park kula nyama choma wakipata ukodak moment
Flavia Matata(sketi nyeusi na top ya jeans)akipata Ukodak moment na mama mitindo Asya Idarous Khamsini(top nyekundu) wakiwa pamoja model mwenzake(mwenye sketi ya punda milia)ambae jina lake halikupatikana na picha ya kushoto(shoto) ni shabiki nambali one wa mavazi Nancy Assenga
Picha ya kushoto kutoka shoto no Flavia Matata,Asya Idarous Khamsin,Khadija Mwanamboka na Nancy Assenga na picha ya kulia ni wajukuu wa Mwalimu Nyerere,Baba wa Taifa
shoto ni Asia Dachi afisa ubalozi na picha kulia ni wageni waliokuwepo uwanjani hapo kwenye nyama choma
Mashabiki wa Yanga walivyokuwa wamejiandaa kwa mavazi ya rangi ya njano na kijani wakiwakilisha Jangwani
Mashabiki wa Simba wakiwa wamevaa rangi nyekundu na nyeupe kuwakilisha msimbazi
Mr Khamsini(kulia) akiwa na mama mwenye nyumba wake,mama mitindo Asya Idarous Khamsini na wakiwakilisha msimbazi
Mudrick Majaliwa mchezaji wa Yanga toka Seattle,Washington State
Shabiki wa Simba akiwa amekula jezi ya Asernal yenye rangi ya Lunyasi akiwa na shabiki aliyevaa jezi ya Brazil ambae hakujulikana ni shabiki wa timu gani
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment