ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 27, 2011

Wimbo wa Taifa



Wakati tukiendelea kusherehekea miaka 50 ya uhuru, Pokea huo wimbo wa taifa kwa ajili ya VIJIMAMBO. Wimbo huu umepigwa na binti yangu, Mhoja Nkonya, 15 years old kutoka Virginia.
Asante sana! 
Leticia Nkonya

3 comments:

Bagasa said...

safi sana.

Anonymous said...

Inapendeza sana!!

Rachel Siwa said...

Hongera wazazi na binti pia.