Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu, Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Freddy Maro/Ikulu
No comments:
Post a Comment