ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 11, 2011

Shukrani toka kwa Mnyangala

Mnyangala anapenda kutoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha kwa namna moja ama nyingine siku yake ya “Baby Shower” iliyofanyika huko Dallas, Texas. Mungu awazidishie mara dufu na tuendelee kushirikiana.
Kwa picha zaidi mtembelee dada iskajojo kupitia

No comments: