ujumbe na uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) ukiingia Ikulu jijini Dar es salaam kukutana na Mh Rais Jakaya Kikwete kuzungumzia juu ya sheria ya kuanza mchakato wa kutafuta katiba mpya. Ujumbe huo umeongozwa na Makama Mwenyekiti wa CUF Mh Machano Khamis Ally (wa nne toka kulia)
Ujumbe wa CUF ukipokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira(kulia)
Mh.Rais akisalimiana na makamu mwenyekiti wa chama hicho Machano Khamis Ally
Mh Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na ujumbe wa CUF
Kwa picha zaidi Bofya Read more
No comments:
Post a Comment