Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA, Prof. Samuel Mwita Wangwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Teknolojia Mbadala ya Mwaka 2011 ambapo amehoji tunawezaje kupunguza umaskini katika kipindi hichi tunachokabiliwa na mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la Joto Duniani.Zaidi ya Asilimia 20 ya idadi ya watu Duniani ambao ni sawa na watu Bilioni 1.4 ambao hawana uwezo wa kupata Nishati hiyo wengi wao wakiwa wanaishi Kusini mwa Bara la Asia na Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Picha kwa hisani ya GPL
No comments:
Post a Comment