ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 6, 2012

Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Ahaji Ai Hassan Mwinyi,waongoza waombolezaji kwenye msiba wa Marehemu Azizi Sheween

Juu na chini ni  Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Ahaji Ai Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe, Katibu Mkuu Kiongozi Mh Ombeni Sefue na waomboezaji kwenye  msiba wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo January 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.
Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween  Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo Janaury 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.

PICHA NA IKULU

No comments: