ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 11, 2012

UJIO WANGU COLUMBUS, OHIO

Alex  Kassuwi Mbongo kutoka DC anatarajia kuwepo Columbus, Ohio March 16 mpaka 18, 2012 na anapendelea kukutana na Watanzania wenzake wa huko atakuwepo kwa shughuli za kanisa la Pastor Rod Parsley na kama kuna Watanzania wanasali hapo au wanaoishi karibu na hapo anaomba uenyeji wenu namba yake ni 301 305 9685, Asante

No comments: