ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 25, 2012

BULB INAYOWAKA KWA MIAKA 20

led light bulb Philips kampuni ya  Kidachi inayotengeneza vifaa vya umeme zikiwemo Bulb, imepata tuzo kwa kutengeneza Bulb inayowaka kwa saa 30,000 sawa na miaka 20.

Bulb hiyo sasa inauzwa kwa bei ya $ 60 ambayo ni sawa na Tsh 94,830, msemaji wa kampuni hiyo ya Philips amesema wanaangalia uwezekano wa kushusha bei mpaka $ 25 sawa na Tsh 39,512.50.

2 comments:

Anonymous said...

wewe luka,husiweke tu habari kama hujui mahesabu,unaonekana mjinga!!!!!

Anonymous said...

hakuna kitu kama hicho duniani jinsi unavyotumia ,kama uwashi taa sana bulb yoyote duniani itadumu ,ukiwasha muda wote bila kuzima usiku na mchana lazima ife hata iwe aina gani na mwanga ukianza kupungua ndio dalili ya bulb kwenda ,ni biashara tu na kumbuka bulb zote za enegi seva zina bodi za electronic ndani .