ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 25, 2012

CHEKA AJIFUA KUMKABILI MAUGO JUMAMOSI

 kocha wa ngumi Abdallah  Ilamba 'Komando'  akimsimamia
Kocha wa mchezo wa Masumbwi Abdalah Ilamba 'Komandoo' akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka Dar es salaam jana Chaka anajiandaa na mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa bingwa wa Mkanda wa I.B.F na atanyakua Zawadi ya gari.

2 comments:

Anonymous said...

WADAU IYO SIYO NYUMBA YA KULALIA WAGENI(GUEST HOUSE)KWELI KAZI TUNAYO YAANI BAADA YA KWENDA KUFANYIA MAZOEZI KIWANJANI WAMEAMUA KUYAFANYIA GUEST TETETETE...KWELI NIMEAMINI KUWA BONGO TAMBARARE.

MDAU-DRESDEN-GERMANY

Anonymous said...

Inakuwaje na mambo ya gym?