KANUMBA HATUNAE TENA
Steven Kanumba
Habari tulizozipata hivi punde na kuthibitishwa na Zahor Geofrey ambae pia ni muigizaji wa Bongo Movie, Steven Kanumba hatunae tena, Marehemu alikubwa na mauti alipoanguka ghafla nyumbani kwake Sinza na kukimbizwa Hospitali kwa sasa mwili wa marehemu upo Muhimbili.
Vijimambo itawaletea Habari zaidi Baadae
JAMANI OMG MUNGU AMUEKE PAHALA PEMA PEPONI
ReplyDeleteYaani huyu jamaa nilikuwa namsikiliza kwenye blog ya michuzi alivyokuwa anongea kuhusu the big brother. sijui michuzi alikuwa anwaza nini mpaka kuikumbushia stori yake. Alipokuwa anahojiwa kipindi cha mikasi alimtaja Ray kuwa ni mbaya wake. Sasa sijui itakuwaje hapo. RIP Steeve. Hongera Luka maana hata michuzi bado hajairusha hii braking news.
ReplyDeleteGone too soon love! R.I.P
ReplyDeleteApumzike kwa Amani...on good friday...he was a good christian....we will miss him.
ReplyDeleteRIP Kanumba. Luke wewe ni kama BBC na ALjazira yetu hapa DMV.
ReplyDeleteR.I.P we will miss him. Was taking our country in another level of movies. Mungu ametoa mungu ametwaa. Mwenyezimungu amrehemu.
ReplyDeleteVery sad indeed. RIP. Hao watu wabaya mwachie Mungu atadeal nao.
ReplyDeleteyaani nimeshtuka sana.... nina mume lakini sipati kusema jamaa alikuwa ananichengua sana haswa akicheka na meno yake yaani nimeshtuka kama nilivyosoma msiba wa whitney houston.... kweli bongo tumefikiwa na msiba mkubwa.
ReplyDeleteRIP Kanumba sleep bro sleep
TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
ReplyDeleteAMEN