Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai walipokutana Ofisi kwa Naibu Spika Bungeni, Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai () akimweleza jambo Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara alipofika kumtembelea Ofisini Kwake Dodoma. Balozi Sefue alifanya ziara ya kikazi Bungeni Dodoma kwa lengo la kujitambulisha na baadhi ya viongozi wa Bunge.
No comments:
Post a Comment