ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 25, 2012

Salamu za Muungano kutoka kwa Balozi Maajar






MIAKA 48 YA MUUNGANO


PONGEZI KWA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI NA MEXICO

Nanapenda kuwapa pongezi Watanzania wenzangu waishio Marekani na Mexico tunaposherehekea miaka 48 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya wenzangu hapa Ubalozini nawatakia Watanzania wote heri na fanaka ya siku hii muhimu katika historia ya nchi yetu.
Aidha, tunaposherehekea sikukuu hii, natoa wito kwa Watanzania wote kuendeleza udugu na mshikamano wetu, ili muungano wetu udumu na taifa la Tanzania lizidi kusonga mbele.

Mwanaidi Sinare Maajar
Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico
Washington, DC.
April 25, 2012

1 comment:

Anonymous said...

Hamna party, duh Ingekuwa Enzi za nyanganyi Tungekuwa tunajirusha sasa hivi Potomac