ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 25, 2012

TANGAZO


JUMUIYA YA WATANZANIA MAREKANI WASHINGTON METROPOLITAN
Uongozi wa Jumuia ya Watanzania  wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba  wanajumuia wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye Kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.
Tunawaomba  watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).
  1. The Administrative Committee
  2. The Information and Communication Committee
  3. The Finance Committee
  4. The Governance Committee
  5. The Social – Economic and Empowerment Committee
  6. The Immigration Committee
Tunakuomba kama  unapenda kujiunga na  moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.
Email ni: atcdmv@gmail.com
Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;
Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165
Makamu wa Rais- Raymond  Abraham @ 301-793-4467
Katibu- Amos Cherehani @ 240-645-2131
Muweka Hazina- Genes Malasy @ 301-367-8151
Asanteni
Uongozi.

7 comments:

Anonymous said...

suggestion: hizo kamati ni vizuri zikichanganya watu wenye uzoefu na mambo ya kamati husika pamoja na wenye elimu inayohusu yatakayo kuwa addressed ktk kamati hiyo,
mfano immigration commt. iwe na mtu angalau mmoja aliesoma law.
socio - economic wenye uzoefu au elimu ya jamii /welfare . nahisi itakua safi zaidi. coz kiongezi akiwa competent ktk sekta yake itakua rahisi zaidi kusaidia watu.

Anonymous said...

Napendekeza Dj. Luka uwepo ktk kamati ya infomation and communication

Anonymous said...

Ovyoooooooooo.Kwanza luka ana kazi nyingi sana ,hii kitu haimfai kabisa,luka wewe baki hapohapo usiingie kwa hili kundi la pasua kichwa utajuta!lawama zitakuangukia wewe baki na udj wako na Vijimambo inatosha,usiende kwenye kazi hii ya kujitolea hamna mshahara ila stress,vijimambo unajitolea na hii pia ujitolee kwani wewe nabii!!!haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Anonymous said...

Walivyoitangaza utadhani nafasi za kazi za ukwee unalipwa,utafikiri hata mtu akiwa rumande mtasaidia,kuna wabongo kibao wako ndani,na hata uongozi zilizopita hamna lolote,tuondokeeni hapa na upuuzi wenu.Chama,chamaaaa.mnatupotezea muda.

Anonymous said...

Jumuiya yenyewe tangu mwanzo imeingiliwa na shetani,malumbano,matusi,kejeli,unafikiri mambo yatakua sawa hapa!poleni mtakaoingia but jitayarisheni kwa msivyovitarajia,midomo ya watu zaidi ya kumi wakisema looo basi ujue kimbia harakaaaaaa.

Anonymous said...

Jumuiya ninayo kwangu,mimi na familia yangu tu.wengine wanipishie mbali huko,hata grocery hamuwezi kunifanyia.

Anonymous said...

Wewe DJ ulikuwa wajitia uweki comments za kuvunja wakati Loveness anafanya kampeni. Sasa uongozi umeenza unaziwachia kampeni za kuvunja . Huko kwa kina Loveness nini ?