Monday, April 9, 2012

Wakazi - Losing My Ground



Huu Ni Wimbo Mwingine kutoka kwenye Mixtape ya MYU3 by Wakazi,
Nimeamua Kuutoa now kufuatia Kifo cha Icon wetu Mpendwa Steve Kanumba.
Ni wimbo unaojaribu kuyatazama maisha kwa mtazamo wa utofauti kimapito
na kwa kupoteza au kupata mahusiano, marafiki, mafanikio na kadhalika.
I will dedicate this to you Steve Kanumba The Great "Losing My Ground"

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake