ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

BIAH'S BABY SHOWER @ LAUREL, MARYLAND

Biah akiwa baba mwenye nyumba wake Jeff wakati wa Baby shower yake iliyofanyika Jumapili June 24, 2012 Laurel, Maryland katika Hotel ya Sleep Inn.
Biah na Jeff wakiwa wamekaa wakimsikiliza mshereheshaji (hayupo pichani) akiongea jambo.
Biah akikata keki kwenye Baby shower yake iliyofanyika Jumapili June 24, 2012 Laurel, Maryland.
Biah akimlisha baba mwenye nyumba wake
Jeff alimlisha keki mama mwenye nyumba wake.
picha juu na chini Biah akiwalisha keki wazazi wake.
Biah akimlisha Keki Betty Luandala mmoja ya wandaaji wa Baby shower yake.
Biah akimlisha keki Mrs Isingo ambae alishirikiana na Betty katika kuandaa Baby shower yake.
Wazazi wa Biah wakiongea jambo, kuwashukuru waalikwa kwa kufika na kuwapongeza Biah na Jeff.
Biah na Jeff wakifungua dansi
Mshehereshaji Tuma akifanya vitu vyake.
 Dr. Teal akiombea chakula

Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

 

No comments: