Watoto wakidondosha maua njia anayopitia Bi Harusi mtarajiwa (hayupo pichani)
Bi Harusi Mtarajiwa (kushoto) akiwa na mpambe wake Saudath Juma toka Miami Florida wakiingia ukumbini kwenye Kitchen Party yake iliyofanyikia College Park, Maryland, Nchini Marekani, Jumamosi June 23, 2012.
Bi Harusi mtarajiwa akiingia ukumbini huku akisindikizwa na mama, shangazi,madada, mawifi, ndugu, jamaa na marafiki waliokuja kushuhudia siku hii ya kihistoria kwake
Ni vifijo na nderemo vikirindima ndani ya ukumbi huku wengine wakiendelea kupata ukodak moment
Bi Harusi mtarajiwa akiwa na mpambe wake katika picha ya pamoja na watoto waliowasindikiza kwa kumwaga maua.
Bi Harusi mtarajiwa akiwa na mpambe wake.
Bi Harusi mtarajiwa akisaidiwa kukata keki na mapmbe wake huku watoto waliowasindikiza kwa kumwaga maua wakishuhudia.
Bi Harusi mtarajiwa akimlisha keki mama yake mzazi
Bi Harusi mtarajiwa akimlisha keki Aunty yake
Bi Harusi mtarajiwa kipata picha ya kumbukumbu na mama yake mzazi
Jana iliandikwa Mariam (kushoto) ni mdogo wake Achotto. Sahihisho: Mariam ndio dada mkubwa akifuatiwa na Achotto (kati) na Amina ndio mdogo,Vijimambo inaomba radhi kwa makosa hayo.
Kwa picha zaidi Bofya Read more
No comments:
Post a Comment