Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango Malecela kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 22, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge Bumbuli, January Makamba (katikati) na Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Kahlifa (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment