Rais Kikwete akisalimiana na rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed.
Rais Kikwete akiwa na rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed jana jijini Arusha.
Rais Kikwete akiongea na rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed (kushoto) jana jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na rais wa Somalia, Sheikh Shariff Ahmed na kufanya nae mazungumzo jana Juni 2, 2012 jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo na pia akamhakikishia rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment