ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 25, 2012

RAIS WA SAHRAWI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi Mhe, Mohamed Abdelaziz katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni Juni 25, 2012 ambapo gwaride la kijeshi na ngoma za utamaduni zilimlaki kwa nderemo.
(PICHA NA IKULU)

No comments: