Sunday, July 15, 2012

BESIDEI YA NEESHA FUNIKA MBOFU

Wageni waalikwa wakiingia nyumbani kwa Neesha Ellicott Cty, Maryland Nchini Marekani alikofanya mnuso wa nguvu wa kusherehekea kufikisha miaka 40 ambao ulikua na vazi maalum la Black & White na mnuso ulianzia juu kwa wageni waalikwa kupata kanywaji na vitafunio na baadae mnuso ukahamia chini kwenye Basement kwa chakula, kukata keki, manywaji na kucheza rhumba mpaka saa 12 asubuhi.
Neesha akipata Ukodak Moment.
Juu na chini wageni wakitia saini na kupiga picha kwenye picha ya Neesha ilikuzwa na kubandikwa ukutani.
Neesha (kati) akiwa meza kuu Basement na shosti zake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa kusherehekea kutimiza miaka 40  
Kushoto ni John(baba mwenye nyumba wa Neesha) akipata picha ya pamoja na Edgar.
Neesha (kati) akipata picha ya pamoja na Ray akiwa na mama mwenye nyumba wake
Neesha(kulia) akipata picha ya pamoja na wageni wake.
Neesha (wapili toka kushoto) akipata picha ya pamoja na wageni waliofika kujumuika nae katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake kwa kutimiza miaka 40.
Neesha akipata picha ya pamoja na Given.
Neesha (kati) katika picha ya pamoja na Aunty Grace na Uncle George Sebo.
Neesha (kati) akipata picha ya pamoja na familia ya Toure
Neesha (kushoto) akipata picha ya pamoja na Loveness
Kwa picha zaidi Bofya Read More




2 comments:

Anonymous said...

happy birthday, I love u r mansion !

Anonymous said...

very classy