Sunday, July 15, 2012

KESHO JUMATATU MWANADIASPORA SALMA MOSHI KULONGA NA VIJIMAMBO

Msanii wa siku nyingi katika ngoma ya asili ya kucheza nyoka Mama Salma Moshi Kesho Jumatatu July 16, 2012 atalonga na Vijimambo na kutuelezea  kucheza na nyoka kunahitaji dawa au ni kuondoa woga na kujiamini na sanaa ya Tanzania imetoka wapi na inaelekea wapi USIKOSE

1 comment:

Anonymous said...

nazani hii vijimabo aina habalizakutuletea,tuletehe habalizakueleweka,huyudada tunamjuasikunyingi anacheza naminyoka sasa atatueleza ninigeni?