Sunday, July 15, 2012

LYAZUMBI

Hapa ni Nkasi Mkoa wa Rukwa eneo hili linajulikana kwa Jina la Lyazumbi ama Sheraton,Viazi vitamu ndoo moja kubwa inauzwa 3000 na boga shs 100.

No comments: