ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 9, 2012

Mahojiano kati ya bloggers wa DC na Mhe. Bernard Membe Part II


Sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano kati ya bloggers wa Washington DC na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Bernard Membe (MB)
Katika sehemu hii, amezungumzia 
1: Ushiriki wa wanaDiaspora katika maoni ya katiba mpya.
2: Kauli yake kuhusu CHADEMA kushinda 2015
3: Mission ya Wizara ya Mambo ya Nje
4: Msimamo wa Tanzania kuhusu Somalia na hatua dhidi ya maharamia
5: Msimamo wake kuhusu Zanzibar, maoni yake kuhusu muundo wa muungano
na
6: Lini atatangaza nia yake ya kugombea Urais 2015?
Ungana na Sunday Shomari aliyeketi kwa niaba ya bloggers

1 comment:

Anonymous said...

Nadhani hakuna umuhimu wa kumuuliza kuhusu kauli yake kuhusu kushinda kwa CHADEMA, hiyo alishatolea maelezo yake na siyo wala kosa kusema CDM itashinda, Mbona Shibuda alivyosema kuwa CCM itashinda hamkumuuliza? Msifanye issue ndogo kuwa kubwa