Monday, August 13, 2012

AINA HII YA VIATU VINAITWAJE VILE!!!

7 comments:

Anonymous said...

Platform ngazi nne

Anonymous said...

miaka ya zamani kipindi cha miaka ya sabini mwishoni na miaka ya mwanzo ya themanini vilikua vinaitwa "laizoni: vilikua maarufu sana, kiwanda cha bora nao walijitahidi kutengeneza laizoni za kina mama mpaka za ngazi tatu

Unknown said...

pia ziliitwa "shuka tu bonge"

Anonymous said...

raizoni

Anonymous said...

Laizoni

Anonymous said...

Raizoni

Anonymous said...

Hii ni "Raizon" mzee wangu. Ukiweka hapo na "buga luu" na kihati cha kubana disco kawa enzi hizo. Dada zangu na kaka zangu walivaa sana hiki kitu. Na nywele unachana afro Weweeeee!!! We acha tu.