Hizi ni ndege mbili zimekaliana juu na chini huu ni ustadi wa hali ya juu na kila mwaka hushirikisha U.S. Airforce, Blue Angels, Thunderbird na Bill Stein Airshows.
Juu na chini ni Air Show ambayo hufanyika kila mwaka kwenye Lake Michigan Avenue Chicago, IL huvuta watu wengi kila kona ya mji huo na vitogoji vyake
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake