HITMA JUMAMOSI DMV
Tujumuike na Salma JJ (Londa) katika Hitma cha Bibi yake itakachofanyika leo Jumamosi Aug 11, 2012 saa 1:30 Jioni ( 7:30pm) Hillandale Park
10165 New Hampshire Ave,
Silver Spring, MD
Kisomo kitasomwa kabla ya Futari ya Pamoja
kwa maelezo zaidi na maelekezo
kwa maelezo zaidi na maelekezo
Missy Temeke 301 910 4634
Farida jetha 240 593 7370
Salma jj 301 589 0348
Kufika kwako mapema ndio mafanikia ya Hitma hii
No comments:
Post a Comment