THE BIG SHOW ILIYOANDALIWA NA MJ REDIO 93.0 ARUSHA AMBAYO ILIKWENDA KWA JINA LA MAMBO JAMBO SUMMER JAM AMBAYO KWA SASA ITAKUWA IKIFANYIKA KILA MWAKA MWEZI WA NANE CHINI YA MAMBO JAMBO RADIO SHOW ILIFANYIKA CHINI YA STAGE MPYA NA SOUND MPYA KABISSA WASANII NGULI KUTOKA ARUSHA WALIFANYA SHOW KUWA BOMBA SANA NA ILIHUDHULIWA NA WATU WENGI SANA
No comments:
Post a Comment