Tuesday, August 14, 2012

ISKA JOJO NA PICHA ZAKE ZILIZOENDA SHULE

 
Iska Jojo

Iska Jojo mambo ya picha ni kitu kilichokua kwenye damu tangia alipokua Tanzania na alipobahatika kuja Marekani na kwa lengo la kutimiza ndoto yake ilibidi ajipige msasa kwa kwenda shule kusomea utumiaji Camera na utundu wa kucheza na picha kama mwenye unavyoona hapo chini.

Iska Jojo pia ni mbunifu wa mitindo kama unavyoona hivyo viatu ni utundu wake mwenyewe.

Sitaki kutia chunvi  na kanchumbari nyingi, wewe mtembelee kwenye tovuti yake

au kwa maelezo zaidi piga simu
202 975 2157




2 comments:

Anonymous said...

proud of you sister
LJ

Anonymous said...

Tunamkubali kapita huyoooooo