Hasani Mzonge akimwelekeza mmoja wa Mabondia wa Timu ya Taifa jinsi ya kupishanisha ngumi wakati unapigana . |
Makocha wa timu ya Taifa wakiwaonesha mabondia jinsi ya ngumi zinavyopishanishwa wakati wa mchezo kushoto ni Hasani Mzonge na Edward Luyakwipa |
Unatakiwa mkono wako unyoshe hivi ndivyo anavyosema Kocha wa mchezo wa ngumi Hasani Mzonge kulia wakati alipokuwa anafundisha mabondia wa timu ya Taifa . |
Unapiga uku unatembea ndivyo anavyoelekoza kocha wa mchezo wa masumbwi Hasani Mzonge wakati wa Mazoezi ya Timu ya Taifa ya masumbwi yaliyofanyika leo .picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake