Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe.Gregory Teu (wa tatu toka kushoto) ambae alikuwa mgeni rasmi katika siku ya Kitivo cha Biashara iliyofanyika katika Kituo cha Kinondoni, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania hiyo ni katika Maadhhimisho ya Miaka 20(1992-2012) tangu kuanzishwa kwake. Wengine pichani ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo(Taaluma) Prof.Elifas T.Bisanda, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo(Rasilimali),Prof.M.A.M.Victor (wa pili kutoka kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho,Dr.Paul Kihwelo (kulia) na mwenyeji wao akiwa ni Mkuu wa Kitivo cha Biashara,Dr.P.M.K.Ngatuni(wa pili kutoka kushoto) na Dr.T.Katunzi(wa kwanza kushoto)
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe.Gregory Teu akiongea na waandishi wa habari baada walikuwapo hapo katika Maadhimisho ya Miaka 20.
Dr.T.Katunzi alikuwepo pia katika Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Dr.Paul Kihwelo(kulia) wakifurahia jambo toka kwenye iPad na Dr. W.A.Pallangyo(katikati) huku Mr.J.C.Kalanje kutoka Kitivo cha Biashara akicheka kwa furaha.
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo(Taaluma) Prof.Bisanda akiteta jambo na Mkuu wa Kitivo cha Biashara,Dr.Ngatuni baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambapo ilikuwa siku ya Kitivo cha Biashara
Mama H.Uiso(Kulia) akiteta jambo baada ya kumalizika kwa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ikiwa ni siku ya Kitivo cha Biashara.
Picha na Rungungaiblog
No comments:
Post a Comment