Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye alipozungumza na waandishi wa habari, leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amezungumzia maswala kadhaa ikiwemo CCM kukanusha madai ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa aliyoto juzi mjini Morogoro kwamba CCM imekuwa na utaratibu wa kuingiza silaha nchini kinyemela. (Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment