Nyumbani kwa bunge la jamhuri wa muhungano wa Tanzania Dodoma yetu hiyo, kwa wale walio ughaibuni na awajafika nyumbani miaka ya hivi karibuni ndio Dodoma yetu inavyoonekana
| Dodoma city center hapo |

Huu ni mnara wa sanamu ya kumbukumbu ya baba wa Taifa uko Dodoma
| Muammar Gaddafi Masjid, imeletwa kwenu na Ny Ebra vijimambo New York |
2 comments:
Safi sana mzeeee wa Vijimambo....Nyumbani ni nyumbani.....
BEAUTIFUL DODOMA....ME LOVE IT!
Post a Comment