Siku za karibuni kumetokea MAMBO YA AJABU SANA HAPA WASHINGTON DC. Lakini hili la sasa ndio limesikitisha zaidi.
Nimesoma HABARI HII iliyoandikwa na "MWANAMAENDELEO WA DMV" ambaye licha ya kuwa na UWEZO MDOGO WA KUANDIKA, BADO AMEDHIHIRISHA UWEZO MDOGO WA KUJENGA HOJA. Mwana maendeleo huyu wa DMV ambaye hapendi jina lake lijulikane amechefua kwa kusambaza habari hiyo kwenye blog ambazo hazihudumii jamii inayolalamikiwa.
Nimkumbushe huyu MWANA MAENDELEO ambaye hana maendeleo katika kuandika baadhi ya mambo ambayo kwa hakika yanalifanya hili andiko lake lisiwe na "mashiko"
1: Haijulikani mwandishi ni nani (japo anajiita mwana maendeleo)
2: Amesema "WANASHUTUMIWA NA WANAJUMUIYA WA WASHINGTON KWA KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA CHAMA CHA CHADEMA KWA AJILI YA KUFANYIA PICNIC NA PARTY YA USIKU..." Hao wanajumuiya ni idadi gani na walijumuika wapi kukusanya malalamiko yao?
3: Amesema "WAKEREKETWA WA JUMUIYA WAMEIPA MAMLAKA KAMPUNI YA ERNEST & YOUNG KUFANYA INDEPENDENCE AUDITING YA JUMUIYA ILI KUJUA INCOME AND EXPENDITURE ZA JUMUIYA HIYO ZIMETOKA WAPI NA ZIMETUMIKA VIPI..." Hao wakereketwa wanaotajwa hapa ni kina nani na kwanini wakereketwa wote ni ANONYMOUS
4: Katika sehemu ya mwisho ya maelezo yake ya kusikitisha, huyo mwana maendeleo amesema "HABARI ZA KUAMINIKA NA USHAHISI UPO ZINASEMA KUWA KATIBU WA JUMUIYA BWANA AMOSI CHEREHANI NI MWEKA HAZINA WA CHADEMA WASHINGTON NA NDIYE AMBAYE AMEWEZA KUHAMISHA PESA HIZO KUTOKA CHADEMA ILI ZIWEZE KUFANYA HAFLA HIYO.WANANCHI WANAHOJI KWA NINI MWENYEKITI AMBAYE ALICHAGULIWA KWA KISHINDO AMEWEZA KUKUBALI SWALA HILI WAKATI JUMUIYA HAIFUNGAMANI NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA?....WAKEREKETWA WA JUMUIYA WAMEIPA MAMLAKA KAMPUNI YA ERNEST & YOUNG KUFANYA INDEPENDENCE AUDITING YA JUMUIYA ILI KUJUA INCOME AND EXPENDITURE ZA JUMUIYA HIYO ZIMETOKA WAPI NA ZIMETUMIKA VIPI KABLA YA HATUA ZAIDI KUCHUKULIWA...WANAJUMUIYA TUNAOMBA KUITISHA MKUTANO NA KUPIGA KURA ZA MAONI YA KUWA NA IMANI NA UONGOZI KWANI BADO NIMCHANGA NATULIUCHAGUA KWA IMANI HATUTAKI VYAMA VYA SIASA VITUINGILIE...RUSHWA NI ADUI WA HAKI!"
Kwani hapa tatizo ni party ama muingiliano wa tarehe na uzinduzi wa tawi la CCM hapa?
Nafurahi kuona kuwa si viongozi wa jumuiya wala wa CHADEMA waliojibu UTUMBO huu kwa kuwa hii ni sawa na kumkimbiza taahira aliyechukua nguo zako ukiwa uchi.
Chanzo:Changamoto Yetu Blog
CHANGIA MOTO WAKO MZEE WA CHANGA MOTO NIKO HAPA DMV KWA MUDA WA MIAKA 12 SIJAONA UBALOZI WALA CHADEMA WALA CCM KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU YEYOTE KWENDA KUZIKWA TANZANIA.NI JUMUHIYA NDO INAFANYA MAMBO YOTE HAYO.JUMUHIYA INAENDESHWA NA WAZALENDO WANAOTAKA MAENDELEO NA MAFANIKIO YA WANAJUMUHIYA.ASILIMIA KUMBWA YA WATU WANAOJIINGIZA KWENYE SIASA NI KWA AJILI YA MASILAHI YAO WALA SI KUJENGA NCHI.
ReplyDeleteNI MWANAJUMUHIYA WA KUDUMU.
na kwa nini mfanye party siku ambayo mnajua kabisa CCM inafanya ufunguzi? au kwa nini CCM wafanye ufunguzi siku ambayo wanajua kuna shughuli nyingine? mie nilijua tu kutatokea msuguano. DMV mkiendelea hivi kutatokea ma-group yasiyo na kichwa wala miguu!
ReplyDeletekuna watu wazima wanatambishiana baba zao mwingine anasema sijui baba yake alikuwa mkurugenzi, mwingine sijui baba yake alikuwa ikulu. hawa ni watu wazima siyo watoto. am like seriously, i mean SERIOUSLY! in this days and age bado kuna hiyo mentality ya mali na title za baba.
ReplyDelete