Sunday, August 19, 2012

SHEREHE ZA EID DMV

 Waislaam waishio DMV wakipata picha ya pamoja baada ya Sala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa MCC
 Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV akipata picha na mama mwenye nyumba wake
 Watanzania waishio DMV wakipata picha ya pamoja baada ya Sala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti wa MCC uliopo mtaa New Hampshire Ave, Silver Spring, Maryland.
Deddy akiwa na familia yake ( wapili kutoka kulia) wakipata picha ya na maswahiba wake wa karibu baada ya sala ya Eid 
 Juu na chini kina mama nao wakiwa  katika picha ya pamoja 
Wana DMV wakiwa na mgeni wao kutoka Columbus Ohio Ustadh Yussuf Makka ( wapili kutoka kushoto)  Aliefika kujumuika katika sherehe za Eid 

 Maustadh nao hawakuwa nyuma mbele kamera ya vijimambo

Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: