Monday, August 13, 2012

TAMASHA LA FEST AFRICA YAFANA, SILVER SPRING, MD

 
Bendera za Nchini mbalimbali kutoka Afrika zilikuwepo
Juu na chini ni kikundi cha ISHANGI LEGACY wakifanya vitu vyao kwenye siku ya FEST AFRICA iliyofanyika Downtown Silver Spring, Maryland maonyesho haya hufanywa kila mwaka.
Mshereheshaji Diana akiongea Jambo
Mshehereshaji Clovis akisisitiza jambo
Diblo Dibala na kundi lake la Soukous International akiwa kazini
Ngouma Lokito mpiga Bass maarufu
Mpiga Drum wa kimataifa
wacheza show Jesca (kushoto) ambae ni Mtanzania anaeishi New York akishambulia jukwaa akisaidiwa na Eto,o mwenye asili ya Afrika magharibi mkazi wa New York.
 
MaDj wakijitambulisha.
Juu na chini ni wandaaji wa Tamasha hilo katika picha ya pamoja.
Juu na chini Watu waliofika kuangalia tamasha hilo
Kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: