ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 11, 2012

TIMU YA POOL DMV YATINGA SEMI FINAL

Timu ya Pool ya DMV imeingia semi final kesho Jumapili kuanzia saa 12 jioni itajitupa uwanjani Galaxy Silver Spring iliyopo City Place Mall inatazamana na Jumba la sinema, Wachezaji wa Pool wanaomba Wabongo wa DMV wajitokeze kuipa nguvu timu yao.

No comments: