UZINDUZI WA SKYLIGHT BENDI ULIVYOBAMBA NDANI YA GIRAFFE OCEAN VIEW, DAR
Mchekeshaji Steve Nyerere akiongoza jahazi la Skylight bendi huku pembeni akiwa ni mshreheshaji wa shughuli hiyo Beny Kinyaiya. Hii ilikuwa ni katika uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika hoteli ya Graffe Ocean View jijini Dar.
Mchekeshaji Steve Nyerere akionyesha manjonjo yake. Anakwambia, Mdomo biashara ndiyo maana kila mtu amepewa kipaji chake cha kutafuta hela.
Vijana wa vyombo kutoka Skylight bendi hawa ndiyo huwa wananogesha mambo yote.
Watu walijitokeza kwa wingi kuiunga mkono bendi yao.
Kwa picha zaidi bofya read more
Show Love nayo ilikuwepo.
Wadau wakifuatilia kwa makini.
Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa na wanamuziki wa Skylight bendi wakiwasha moto.
Mwanamuziki Joniko Flawa akiwa na Mchekeshaji Steve Nyerere.
Wadau wakijiachia kwa shangwe.
...haya twendeeeee
... jiachieeee kwa raha zako
Kulia... kushoto
Vimwana wa Skylight bendi wakionyesha umahili wao.
No comments:
Post a Comment