Jumamosi ya tarehe 29/9 kulikuwa na sherehe ya shukurani ya kuzaliwa
bibie Natalie iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wake Michael &
Beatrice Ndejembi mitaa ya Gessner huko Houston-Texas.Kama kawaida
kamera ya VIJIMAMBO ilikuwepo kukuletea picha za matukio mbalimbali
yaliyojiri katika party hiyo iliyofana sana
Proud Dad -Michael na Bintiye Natalie Ndejembi |
Bingwa wa kuandaa Barbeque Houston - Victor Mpuya |
Dj.Jimmy aka Zenden akipiga mzigo |
Victor |
Natalie na Aunt Geeta |
Michael,Natalie & Aunt Geeta |
Grayson aka Mzee wa Mbagala |
Victor akiandaa kitu |
Victor |
Wadau |
Wadau |
Houston Future wakiwa na Mama Natalie (mwenye simu) |
Godfrey na Benja |
Dickson, Emmanuel na Grayson |
Kamati ya maandalizi |
Natalie na Mlongo |
Wadau |
Wadau |
Bw.Fue O. Fue akitoa machache kwa waalikwa kwa niaba ya familia ya Ndejembi |
Mama Myles |
John Kijani |
Eladius |
Baba Imani |
Wadau |
Baba na mwana |
Dr.Tenende, Mwl.Juma Maswanya na mjukuu Imani |
Christine |
Santos na Victor |
Daudi |
Sekulu na Alune |
Ngalawa - it was fun |
Drew |
Ngalawa na Alune |
Ngalawa na Alune |
No comments:
Post a Comment