ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 24, 2012

FAINALI ZA MECHI ZA NETIBOLI DARAJA LA KWANZA ZAMALIZIKA JIJINI MBEYA, MGENI RASMI ALIKUWA MH. NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIPO MLUGO



 Mgeni Rasmi Mh. Naibu waziri wa elimu  aliye vaa shati jekundu akikaribishwa uwanjani
 Muheshimiwa Naibu Waziri wa elimu wa kwanza kulia akitazama michezo hiyo pamoja na Mama Bayi , katika mechi kati ya JKT star na timu ya Mbweni wakitafuta mshindi wa tatu ambapo mshindi wa kwanza ilikuwa timu ya Filbet Bayi
 Mechi zinaendelea 
Kwa picha zaidi Bofya read more


 Mgeni Rasmi akikagua Timu
 Mwanaidi Hassani wa kwanza kushoto akiwa na mgeni rasmi


Mgeni Rasmi akiongea na Timu zote zilizo shiriki mashindano hayo

PICHA ZOTE NA MBEYA TETU

No comments: