Ilikua siku, miezi sasa mwaka tangu ulipotangulia mbele ya haki sisi Watoto wako ndugu zako,jamaa zako na marafiki zako ambao kutwa ulikua nao daima tutakukumbuka, kimwli haupo nasi kiroho tupo siku pamoja siku zote mpaka hapo Mwenyezi Mungu atakapotukutanisha tena.
Picha Juu Mina(wapili toka kushoto) akiwa na marafiki zake Enzi ya Uhai wake walipotoka kwa chakula cha jioni Feb 26 2011, White Frint Mall
Kushoto ni Mina akiwa na Bahati siku ya Feb 12, 2011 kwenye chakula cha jioni kusherehekea Valentine Rockville Maryland
Wakwanza kushoto ni Mina Enzi ya uhai wake katika picha ya pamoja na marafizo zake White Frint Mall
Mina Kati Enzi ya Uhai wake akipiga picha na marafiki zake Feb 26, 2011 White Frint Mall
Mina (kushoto) akiwa na Missy Temeke Feb 12, 2011 Rockville, Maryland kwenye chakula cha Valentine.
Mina (kulia) katika picha ya pamoja na marafiki zake Feb 26, 2011 White Frint Mall
Mina (kushoto) katika picha ya pamoja na Dr. Mwamoyo Hamza na mkewe Aunty Ummy
No comments:
Post a Comment