ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 24, 2012

KWETU FASHIONS DESIGNS FUNIKA MBAYA

Kaimu Balozi Mhe. Lilian Munanka akizungumuza machache kwa niaba ya Mhe. Mwanaidi Maajar  Balozi wa Tanzania Nchini Marekani ambae ndie alikua awe mgeni rasmi lakini kutokana na Balozi kuwa na hudhuru na kushindwa kufika kwenye Kwetu Fashion Designs and Fundraiser iliyofanyika Jumapili Sept 23, 2012 Takoma Park, Maryland
Mhe. Lilian Munanka Kaimu Balozi wa Tanzania Nchini Marekani (kulia) akiwa na mgeni wake kwenye Kwetu Designs and Dinner Fundraiser iliyofanyika Takoma Park Jumapili Sept 23, 2012
Familia ya Kwetu Fashion Designs katika picha ya pamoja.
Juu na chini Model wakipita mbele ya watu waliohudhulia kwenye maonyesho hayo ya mvazi
Kwa picha zaidi Bofya Read More