ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 12, 2012

MAENDELEO YA MSIBA

Erica and Jen Lulakwa (left to right) in Dar 2012
GONE TOO SOON
MAENDELEO YA MSIBA WA DADA YAKE  ERICA LULAKWA GLENN WA CALIFORNIA, USA 
JANE LULAKWA KINGU, ALITUTOKA GHAFLA IJUMAA SEPT 07, 2012 DAR ES SALAAM, TANZANIA.

NDUGU ZANGU KAMA ILIVYO DESTURI YETU, TUNAOMBA KWA WALE MNAOWEZA MPIGE SIMU NA KUTOA RAMBIRAMBI KWA HALI NA MALI KUMFARIJI MWANA DIASPORA MWENZETU
ERICA LULAKWA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.

Her bank information is:

Bank: Wells Fargo Bank
Account name: Erica Lulakwa Glenn
Account number: 2223779246
Routing number: 121042882


Tanzanian mobile:  +255 763 79 55 50

Mungu awabariki kwa moyo wenu. 


No comments: